Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Wapo wasukuma kule kijijini kwetu Tabora maeneo ya Goweko wanaitwa TEKINO,NOKIYA na VODAKOOM.
Yaani hayo ndio yameshakuwa majina yao kabisa!
Wameachana na majina yao waliyopewa na wazazi wao
 
Mzigowapumbu N. Masurupwete voter kijichi ward temeke Dar es Salaam
 
Atashasta Justus Nditiye

- Huyu ni Naibu waziri wa Wizara ya mawasiliano na uchukuzi , Awamu ya Tano. I just like this name. Natamani nijue maana ya atashasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…