Maana newcomer wanatukimbizaHili nalo lina ukweli ndani yake
Kilichobaki ni kuwa wakongwe tuUchawi wa invisible huu...point ya mwisho ni 113....
TOP SCORE
Vibaya vibayaMaana newcomer wanatukimbiza
Sasa Rais halafu hushiki namba mojaMimi ndo Rais wenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ila tutakomaa nao kibishiVibaya vibaya
Labda wataziongeza baadae hukoHt me sielewiiii
Bitoz like unazichungulia sana, tembeza like tu maana hatuna namna nyingineMimi ndo Rais wenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Rais huyu kiboko[emoji119]Sasa Rais halafu hushiki namba moja
Ndo kilichobaki tuHapana mwisho ni 113...tukomae kuongeza post + likes ndo dili
Ila yeye ndo Founder wa makapuku wa jfRais huyu kiboko[emoji119]
YeahhhhhIla yeye ndo Founder wa makapuku wa jf
Mbona watafurahia show
Hehehehe basi safari ni ndefu sana kuvuka hapa tulipoMpaka kieleweke
Nimegundua orodha imebase kwenye ratio ya likes kwa kila post...wenye posts kuanzia 1k....wenye trophy point 113