Ngoja tufanye hivyo aisee. Mambo yanaweza yakachangeTukamuhonge invisible ili list apigilie msumari isibadilike kamwe
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Waache waungue tu. Sisi ndo makapukuVuguvugu la makapuku kule .....MODS viti vya moto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji144]Tukipinduliwa tunakinukishu humu. Tujipange vizuri [emoji379] [emoji378]
Mwaka huu tumejipanga[emoji144]
Tumejipanga vilivyo.....Mwaka huu tumejipanga
Utaingia tu..... Kaza buti..... Mpaka kielewekeHa haaa....Mimi sipo topten
Tuna mbinu na silaha zoteTumejipanga vilivyo.....
Sanaaaaa[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Tuna mbinu na silaha zote
[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji106]Sanaaaaa[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
[emoji817][emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji106]
Naona bonge la ubunifu.Wanajifanyaga hii list hawaioni
Kila siku kusifia wakongwe tu
Umegeuza viatu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu thread ikihusu vikapuku ni kutakaa sifa!!Kumbe humu JF kuna watu wanapenda thifa kama baba Jesca! Interesting....