Top 10 most developed cities in Africa by quality of life (HD)

Top 10 most developed cities in Africa by quality of life (HD)

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
1. Johannesburg[emoji1221] 0.798 high

2. Pretoria [emoji1221] 0.765 high

3. CapeTown [emoji1221] 0.741 high

4. Cairo [emoji1093] 0.738 high

5. Casablanca [emoji1173] 0.710 high

6. Durban [emoji1221] 0.701 high

7. Nairobi [emoji1139] 0.698 medium

8. Addis Ababa [emoji1098] 0.693 medium

9. Luanda [emoji1029] 0.691 medium

10 Lagos [emoji1184] 0.685 medium
FB_IMG_1613912889669.jpeg
 
Sawaa ila ilo bus linafanya nn sambamba na Lagos? Wakati bus liko Dar na haijatajwa?
 
Ukitupia na source itaboresha sana nyuzi zako.
 
Bila jiji la Chato, orodha hiyo ni ya Mabeberu, hatuitambui.
 
Taarifa yako ni older Sana .. Lagos ndo inashika nafasi ya kwanza baada ya kuipiku Johannesburg uwe unajaribu kutembelea updated info kabla hujapost
 
Taarifa yako ni older Sana .. Lagos ndo inashika nafasi ya kwanza baada ya kuipiku Johannesburg uwe unajaribu kutembelea updated info kabla hujapost
Quality of life Lagos iwe mbele ya Jozi kivipi???[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., kwa ukubwa in population tu Kama Dar.,
 
Yaan Lagos iwe zaidi ya Johannesburg embu kuweni serious kidogo basi labda kama mnamaanisha mizimu na ushirikina
 
Quality of life Lagos iwe mbele ya Jozi kivipi???[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., kwa ukubwa in population tu Kama Dar.,
Ako ka kipengere ka quality of life nilikuw sijakazingatia ila economically Lagos iko juu
 
Ako ka kipengere ka quality of life nilikuw sijakazingatia ila economically Lagos iko juu
Nimekuelewa., Lagos is big, with 21million people. Hiyo ni nchi kivyake, na Jozi ni 4 million.
 
Back
Top Bottom