Top 10 most reputable universities 2014.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
2,891
Reaction score
1,214
1.Harvad university..2.MIT(massachusetts institute of technology...3.Stanford university...4.University of cambridge..5.University of Oxford..
6.Calfonia University,Berkeley...7..Princeton University..
8..Yale University..
9..California Institute of Technology..10. University of Califonia..Los Angeles..

Source:;
ACCORDING TO FORBES.

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Kuna watu wanapiga sana kelele na udsm humu!!! Na mimi nauliza udsm mbona haipo hapa? Au sio chuo?
 
ndugu yangu weeeeee UDSM yakuuuuma mbona hujajiuliza SOUTH AFRICA haina hata chuo kimoja wakati wao ndo wanaongoza kwa kutoa vyuo kwenye top 100 ya africa!!!?????
Kuna watu wanapiga sana kelele na udsm humu!!! Na mimi nauliza udsm mbona haipo hapa? Au sio chuo?
 
Hawa ndo mApapa wa Dunia,UDSM iweke africa mashariki tu mkuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Nataka nisome hivi vyenye majina ya dictionary nije na ng'eng'e nzr. Mungu jalia.
 
mbona vyuo visivyo vya kata hapa havipo?ama kwenye hii list na vyuo visivyo vya kata vimekuwa vya kata?si mmezoea kuona top ten ya umaarufu,gusa hapa kwenye mambo ya ubora tuone
 
huyu BLACKBERY MGONJWA,WAKATI VYUO VIMETANGAZWA LEO ASUBUHI SUA KIPO NAFASI YA 9,..hongera SUA
 
mkuu mleta mada ameleta list ya vyuo bora duniani SUA ni ya 9 Tanzania.
 
Mwambie huyu,hahahahhaa

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
hahahaha sua ya pili? duh xa c bora niende teku nikale viepe nirud na second upper gpa
 
huyu BLACKBERY MGONJWA,WAKATI VYUO VIMETANGAZWA LEO ASUBUHI SUA KIPO NAFASI YA 9,..hongera SUA
si cha tisa! ni cha pili kwa tazania
mkuu mleta mada ameleta list ya vyuo bora duniani SUA ni ya 9 Tanzania.

sua ya tisa tanzania au ya pili?

Mwambie huyu,hahahahhaa

Sent from my iPhone using JamiiForums.

Itakuwa ya pili mjini morogoro

Sent from my iPhone using JamiiForums.

hahahaha sua ya pili? duh xa c bora niende teku nikale viepe nirud na second upper gpa
Kwa uandishi huu huna qualification za SUA...
according to MBWA member wa jf ni ya 9. mie cjui ni ya ngapi.

Top Universities in Tanzania | 2014 Reviews & Rankings ANGALIENI HAPO..
 
Back
Top Bottom