1.Harvad university..2.MIT(massachusetts institute of technology...3.Stanford university...4.University of cambridge..5.University of Oxford..
6.Calfonia University,Berkeley...7..Princeton University..
8..Yale University..
9..California Institute of Technology..10. University of Califonia..Los Angeles..
Source:;
ACCORDING TO FORBES.
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Kuna watu wanapiga sana kelele na udsm humu!!! Na mimi nauliza udsm mbona haipo hapa? Au sio chuo?
Mkuu weka nia tu hakuna shida ktk hlo.
Sent from my iPhone using JamiiForums.
huyu BLACKBERY MGONJWA,WAKATI VYUO VIMETANGAZWA LEO ASUBUHI SUA KIPO NAFASI YA 9,..hongera SUA
mkuu mleta mada ameleta list ya vyuo bora duniani SUA ni ya 9 Tanzania.
sua ya tisa tanzania au ya pili?
ndugu yangu weeeeee UDSM yakuuuuma mbona hujajiuliza SOUTH AFRICA haina hata chuo kimoja wakati wao ndo wanaongoza kwa kutoa vyuo kwenye top 100 ya africa!!!?????
si cha tisa! ni cha pili kwa tazaniahuyu BLACKBERY MGONJWA,WAKATI VYUO VIMETANGAZWA LEO ASUBUHI SUA KIPO NAFASI YA 9,..hongera SUA
mkuu mleta mada ameleta list ya vyuo bora duniani SUA ni ya 9 Tanzania.
sua ya tisa tanzania au ya pili?
Mwambie huyu,hahahahhaa
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Itakuwa ya pili mjini morogoro
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Kwa uandishi huu huna qualification za SUA...hahahaha sua ya pili? duh xa c bora niende teku nikale viepe nirud na second upper gpa
according to MBWA member wa jf ni ya 9. mie cjui ni ya ngapi.
Kuna watu wanapiga sana kelele na udsm humu!!! Na mimi nauliza udsm mbona haipo hapa? Au sio chuo?