bora useme ndugu yaani mtu yeye ufaulu wake ni kwenda JOSIA KIBILA UNIVERSITY COLLEGE anataka kuja UDSM wamempiga chini makelele kibao aseee UDSM sio mchezo pasikie hivo hivo
Wakuu udsm si pa kupabeza, niko state kwa sasa, ila msingi niliupatia udsm, na kila mtz alitaman japo cv yake iwe na udsm, ila c wote walipata chance ya kusoma pale, kama umesoma mwenge university we kausha, udsm ni namba one bado kwa Tz,