Top 10, Nchi zinazoongoza kwa kuwabana wanawake kwenye ajira, Kuna uhusiano na dini ?

Top 10, Nchi zinazoongoza kwa kuwabana wanawake kwenye ajira, Kuna uhusiano na dini ?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Vyanzo vingi vinaonesha nchi hizi ndio zinaongoza kwa kuwa na imbalanced work force, Yaani baadhi ya nchi kwenye hii orodha ni mwiko mwanamke kwenda chuoni, kazi zinabanwa ziwe kwa wanaume tu.

1723207425013.png


1723207462541.png
 
so sisi wavaa kanzu tunanyanyasa wamama au siyo
Kama binti ana uwezo wa kufundisha kuzidi mwanaume kwanini asipewe nafasi ?

Kama binti anajua kutibu zaidi kwanini asipewe nafasi kuwa daktari ?

Kama bint ana masters ya uhasibu kwanini asiwe muhasibu ?
 
Cha kushangaza na ndio nchi ambazo ndoa zina dumu.

Note: Ni haki ya kila mtu bila kujalisha jinsia yake kupata ajira.
Unatamka Talaka mara tatu ndoa imevunjika hio,

Nchi zinazoongoza kwa ndoa kudumu ni India, Sri Lanka, Vietnam, Venezuela, n,k.
 
Back
Top Bottom