Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Jarida la Forbes ambalo hutoa orodha ya matajiri duniani wametoa orodha ya matajiri wapya dunia.
Hii ni orodha ya matajiri 10 kwa mwaka 2022.
1. Elon Musk mmliki wa kampuni ya tesla na spaceX utajiri wake ni $239.2B lakini ameshuka kwa kiasi cha shilingi $1.9B sawa na asilimia 0.79% ya utajiri wake.
2. Bernanard Arnault & family ni mmiliki wa kampuni ya LVMH ana thamani ya utajiri wa $183.0B yeye utajiri wake umepanda kwa thamani ya shilingi $2.2B sawa 1.22% ya utajiri wake.
3. Jeff Bezos ni mmiliki wa kampuni ya Amazon ana utajiri wa thamani ya shilingi $169.0B utajiri wake umeshuka kwa thamani ya $1.5B sawa na 0.88%
4. Bill Gates mmliki wa microsoft utajiri wake ni $130.1B ameshuka kwa thamani ya shilingi $1B sawa na 0.75%
5. Larry Ellison mmliki wa kampuni ya software utajiri wake ni $111.0B ameshuka kwa thamani ya $1.5B sawa na 1.36%
6. Larry Page ni mmliki mwenza wa Google utajiri wake ni $110.3B umeshuka kwa thamani ya shilingi $1.9B sawa na 1.71%
7. Warren Buffett mmliki wa kampuni ya Berkshire Hathaway utajiri wake ni $108.5B umeshuka kwa thamani ya $1.5B sawa na 1.40%
8. Mark Zuckerberg mmliki wa kampuni ya Meta zamani ikiitwa Facebook Inc (Facebook, Instagram, WhatsApp,Messanger,n.k)
utajiri wake ni $107.2B umeshuka kwa thamani ya shilingi $2.3B sawa na 2.07%
9. Sergey Brin mmliki mwenza wa Google utajiri wake ni $106.4B umeshuka kwa thamani ya shilingi $1.8B sawa na 1.69%
10. Steve Ballmer mmiliki wa HYPED na L.A Clippers na mfanyakazi wa zamani wa microsoft utajiri wake ni $93.9B