Sisi Washabiki wa Koenigsegg tunacomment wapi?
ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
Tako la nyani cha mtoto mkuu...mle jumba tu kama zile kamera wakati tunakua waliziita 'kubwa jinga ' samahani mkuu kama nimekukwaza ila tako la nyani bado sana kwa mbio kwenye orodha ya SUVz za jep...hiyo tako la nyani Murano tu hasa PNZ 50 haikamati hata kama dereva wa murano ni kinda...harrier jumba tu ndo linawavutia wabongo,right wangefanya utafiti kwa mbio si kitu ila kwa mauzo harrier inawachapa
Vits yangapi kwa speed wakuu???
MAZDA NI MUITALIANO..Na hii ndiyo orodha kamili...ZINGATIA haya ni yale magari ya kampuni za Japan usibeze kwa kulinganisha na brands za Yuropa au USA bebi...haya wale timu Subaru jioneni hapo mpo namba ngapi.
Here are ten Japanese cars that are considered to be the fastest ever.
Lexus IS-F (416 hp)
Nissan 370Z (332 hp) ...
Mitsubishi 3000GT VR4 (320 hp) ...
Toyota Supra Mark IV (320 hp) ...
Subaru WRX STI (305 hp) ...
Mitsubishi Lancer Evolution X (291) ...
Honda/Acura NSX (270 hp) ...
Mazda RX-7 FD (252 hp) ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo, kumbe za Japan pekee![emoji849][emoji849][emoji849]Basi sawa Lexus LC ya 2016 (467 hp) sio mbayaBeberu hii itakuwa brand ya rwanda sledi inazungumzia brands za jep
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana boss Mazda ni kampuni ya Japan iliasisiwa miaka 99 iliyopita iko wilaya ya Aki katika mkoa au prifikscha ya HiroshimaMAZDA NI MUITALIANO..
Kwenye viatu vya watoto, hapa zinaongelewa real ass cars sio gari zenye shape kama soapdish!Sisi Washabiki wa Koenigsegg tunacomment wapi?
ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
Acha ubwege, Mazda mjepu weweMAZDA NI MUITALIANO..