BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Messi, Ronaldo na Neymar wanaweza kuwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi lakini thamani yao ya jumla iko chini kwa mwanasoka tajiri zaidi Duniani.
Faiq Bolkiah - mtoto wa Mwana wa Mfalme wa Brunei - mwenye utajiri wenye thamani inayokadiriwa kuwa $20 bilioni (zaidi ya Tsh. Trilioni 46), yuko kwenye ligi yake mwenyewe na mwanasoka tajiri zaidi Duniani.