Ndii nashangaa hata mimi. Flamini kabisa?!!Huyu flamini aliyekuwa anacheza arsenal ni billionea?
Ronaldo, flamin na beckham washastafuMessi, Ronaldo na Neymar wanaweza kuwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi lakini thamani yao ya jumla iko chini sana ya mwanasoka tajiri zaidi duniani. Faiq Bolkiah - mtoto wa Mwana wa Mfalme wa Brunei - mwenye utajiri wenye thamani inayokadiriwa kuwa $20 bilioni (zaidi ya Tsh. Trilioni 46), yuko kwenye ligi yake mwenyewe na mwanasoka tajiri zaidi duniani.
View attachment 2371006
Ana mkiwanda wa biochemical ametulia anakula kwa urefu wa kamba yake hukoHuyu flamini aliyekuwa anacheza arsenal ni billionea?
Kumbe ameinvest vizuri mihela yakeAna mkiwanda wa biochemical ametulia anakula kwa urefu wa kamba yake huko
Yap katulia huko masuala ya kuwa hired sacked amewaachia kina lampard viera wapambane nayoKumbe ameinvest vizuri mihela yake
Basi yuko smart. Anajigegedea warembo tuuYap katulia huko masuala ya kuwa hired sacked amewaachia kina lampard viera wapambane nayo
Mke wake asijue sasa maana anaweza baki na kidevu tu 😃Basi yuko smart. Anajigegedea warembo tuu
Alikuwa anamiliki genge BuzaNdii nashangaa hata mimi. Flamini kabisa?!!
Huyo Faiq hela zake za urithi hajazipata kwa kucheza mpiraMessi, Ronaldo na Neymar wanaweza kuwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi lakini thamani yao ya jumla iko chini kwa mwanasoka tajiri zaidi Duniani.
Faiq Bolkiah - mtoto wa Mwana wa Mfalme wa Brunei - mwenye utajiri wenye thamani inayokadiriwa kuwa $20 bilioni (zaidi ya Tsh. Trilioni 46), yuko kwenye ligi yake mwenyewe na mwanasoka tajiri zaidi Duniani.
View attachment 2371006
Messi, Ronaldo na Neymar wanaweza kuwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi lakini thamani yao ya jumla iko chini kwa mwanasoka tajiri zaidi Duniani.
Faiq Bolkiah - mtoto wa Mwana wa Mfalme wa Brunei - mwenye utajiri wenye thamani inayokadiriwa kuwa $20 bilioni (zaidi ya Tsh. Trilioni 46), yuko kwenye ligi yake mwenyewe na mwanasoka tajiri zaidi Duniani.
View attachment 2371006
Aliwekeza kwenye makampuni ya gesi ,anapiga Mpunga mrefu Sana huko.Ndii nashangaa hata mimi. Flamini kabisa?!!