Top 10 Ya Vilabu Bora Barani Afrika ! Utopolo hayupo Top ten

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
Utopolo Mnajiona hapo? Nyie ni timu ndogo ndani ya bara hili

Hii top ten ni kwa mujibu wa CAF siyo zile source za vichochoroni

#NguvuMoja
20250204_213227.jpg
 
"Tukifika robo tutakuwa tumefikisha jumla ya alama 39 na kuwa nafasi ya 5."

"Tutakuwa tumetengeneza historia kuwa Club ya kwanza kwa Tanzania kufika nafasi ya 5."

"Lakini kubwa zaidi tutapata fursa ya kushiriki michuano mikubwa ya World Cup ya vilabu ambayo pia haijawahi tokea Club yeyote ya Tanzania kushiriki"

"Kwa hiyo kile kichaka cha ranking tunaenda kukikata rasmi siku ya jumamosi"

Yalikuwa ni maneno ya mwisho ya marehemu kabla hajakutana na kifoo
 
Umeyarekodi vizuri na kwa usahihi 🤣🤣🤣
 
Ni wakati nipate picha mbao ya huu upuuzi😃
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kifooo...... Kifoooo........
KIFO HAUNA HURUMA
 
Back
Top Bottom