Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Umeyarekodi vizuri na kwa usahihi 🤣🤣🤣"Tukifika robo tutakuwa tumefikisha jumla ya alama 39 na kuwa nafasi ya 5."
"Tutakuwa tumetengeneza historia kuwa Club ya kwanza kwa Tanzania kufika nafasi ya 5."
"Lakini kubwa zaidi tutapata fursa ya kushiriki michuano mikubwa ya World Cup ya vilabu ambayo pia haijawahi tokea Club yeyote ya Tanzania kushiriki"
"Kwa hiyo kile kichaka cha ranking tunaenda kukikata rasmi siku ya jumamosi"
Yalikuwa ni maneno ya mwisho ya marehemu kabla hajakutana na kifoo
Ni wakati nipate picha mbao ya huu upuuzi😃"Tukifika robo tutakuwa tumefikisha jumla ya alama 39 na kuwa nafasi ya 5."
"Tutakuwa tumetengeneza historia kuwa Club ya kwanza kwa Tanzania kufika nafasi ya 5."
"Lakini kubwa zaidi tutapata fursa ya kushiriki michuano mikubwa ya World Cup ya vilabu ambayo pia haijawahi tokea Club yeyote ya Tanzania kushiriki"
"Kwa hiyo kile kichaka cha ranking tunaenda kukikata rasmi siku ya jumamosi"
Yalikuwa ni maneno ya mwisho ya marehemu kabla hajakutana na kifoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Tukifika robo tutakuwa tumefikisha jumla ya alama 39 na kuwa nafasi ya 5."
"Tutakuwa tumetengeneza historia kuwa Club ya kwanza kwa Tanzania kufika nafasi ya 5."
"Lakini kubwa zaidi tutapata fursa ya kushiriki michuano mikubwa ya World Cup ya vilabu ambayo pia haijawahi tokea Club yeyote ya Tanzania kushiriki"
"Kwa hiyo kile kichaka cha ranking tunaenda kukikata rasmi siku ya jumamosi"
Yalikuwa ni maneno ya mwisho ya marehemu kabla hajakutana na kifoo
Wakati wao raisi wao yuko huko jikoni CAF...Hapo utopolo watasema simba amependelewa
Kifooo...... Kifoooo........"Tukifika robo tutakuwa tumefikisha jumla ya alama 39 na kuwa nafasi ya 5."
"Tutakuwa tumetengeneza historia kuwa Club ya kwanza kwa Tanzania kufika nafasi ya 5."
"Lakini kubwa zaidi tutapata fursa ya kushiriki michuano mikubwa ya World Cup ya vilabu ambayo pia haijawahi tokea Club yeyote ya Tanzania kushiriki"
"Kwa hiyo kile kichaka cha ranking tunaenda kukikata rasmi siku ya jumamosi"
Yalikuwa ni maneno ya mwisho ya marehemu kabla hajakutana na kifoo
Kwa hiyo tuseme RAIS wao amewahujumuWakati wao raisi wao yuko huko jikoni CAF...