Mzalendo ni mtu ambaye anaitakia mema nchi yake na yuko tayari kuitetea kwa vyovyote hata kama ikimgharimu mateso, kutengwa, kudhihakiwa, kutukanwa, kufungwa au kuuawa kwa kufanya hivyo.
Ifuatayo ni orodha ya wazalendo wetu wa Kitanzania kwa sasa;
1. Wakili Msomi Mwabukusi
2. Wakili Msomi Madeleka
3. Dk. Wilbroad Slaa
4. Alphonce Lusekelo na wenzake waliofungua kesi ya kupinga Mkataba wa DP World kwa kuwawakilisha Watanzania ambao hawakubaliani na vifungu tata kwenye mkataba huo.
5. Shangazi Maria Sarungi na timu nzima ya SAUTI YA WATANZANIA.
6. Mdude Nyagali
7. Wakili Msomi Dk. Nshala
7. Prof. Shivji
8. Waziri Mkuu msitaafu Mzee Warioba
9. Prof. Anna Tibaijuka
10. Watanzania wote ambao licha ya vitisho bado wanaendelea kupinga vitendo viovu vinavyofanywa na watawala.
Baadhi ya wazalendo hawa wanapitia wakati mgumu sana kwa sasa na wengine huenda wakapatwa na mabaya zaidi lakini historia ya Taifa letu itawakumbuka daima.
Hii ni yangu.
Kama hukubaliani nayo, weka yako.
Muwe na siku njema.