Top 10 ya Wazalendo Tanzania kwa sasa, 2023

Mbona hujamuweka Raisi wangu Samia nitakueleweje sasa?
 
Kwenye listi langu, nipo namba 11
Nikimalizia chai yangu ikiwa na mihogo hapa na papai na mapera, nitafikia wa Kumi.

Huu msako msako mshike mshike, unabidi ushibe asubuhi na mapema.
😁😁😁😁
 
Hivi mbona Shangazi Fatma Karume amekuwa kimya kuhusu suala la Bandari?
 
Mhhh hapa chuki dhidi ya dini ya wavaa bakalashia.
Udini dhidi ya waislamu tu hamna uzalendo wala nunualendo
 
Kwa hiyo kwako wewe wazalendo ni Wagalatia tu!
 
Bila Magufuli kuwepo umekurupuka
 
Bila Magufuli kuwepo umekurupuka
Soma vzr kichwa cha Mada Mkuu.
Namheshimu sana Hayati JPM na mchango wake katika kujenga uzalendo kwa vijana wa Taifa hili. Hakika yeye ataendelea kukumbukwa na Historia ya Tanzania kama Mzalendo kati ya wazalendo wa muda wote.
Hiyo orodha yangu, ni ya wazalendo walio hai, 2023.
 
Hao uliowataja tupo nao kwenye Kijiji cha Songambele kutokana na uhaba wa maji tumeamua kuchimba kisima lakini wao hao unaowaita wazalendo wameamua kupinga nasi tukaendelea kwakuwa wengi tunahitaji maji kwakuwa waliaminishana kwamba wao wapo Sahihi wakapeleka mapingamizi mahakama Kuu lakini Mahakama ikatupilia mbali hoja zao kwa kukosa mashiko.

Baada ya kesi sasa wameamua kwenda kufukia kisima chetu bahati nzuri tumewafuma kabla hawaja fukia nijukumu letu kama wazalendo wa kweli kuwafukia wao tubawombea kwa Mwenyezi Mungu ili washindwe na walegee.
 
Mhhh, tuna safari ndefu sana kama watu wenyewe ndo wa aina hii
 
Wanaokuita mzalendo wanakujaza ujinga ukitiwa nguvuni wao wanabaki kwao.
 
Hehehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…