Top 100 Basketball Shoes of All Time

Top 100 Basketball Shoes of All Time

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056
Naanza na hivi hapa, mwenye favorite yake naye aweke tuvione

1. Converse All Stars
1693255372681.png

2.Nike Air Revolution
1693255627656.png

3.Pump Omni Zone Retro
1693255828149.png

4.Nike Air Force Command
1693255894031.png

5.Nike Sky Force
1693255950444.png

6.Nike Delta Force
1693256013077.png

7.Adidas Pro Model
1693256079068.png

8.Adidas Forum
1693256139281.png

9.Nike Terminator High
1693256215896.png

10.Nike Air Jordan VI
1693256321415.png
 
Converse all star hiyo unachezea Basketball gani?
Aisee
Wewe hujacheza basketball unaonekana
Sisi tulikuwa na rip off version yake tunaiita "Kilipa" yaani "Clippers" ikimaanisha LA Clippers enzi za 80s
Inapelekeshwa mpaka inaisha soli na matundu halafu tunapeleka kwa fundi viatu inawekewa soli ya matairi ya gari
 
Kama hukujua, sasa ndio umejua
Hivi ndio viatu vya kwanza kutengenezwa maalumu kwa basketball
Angalia huyu legend mwenyewe anazijua
View attachment 2732095

Huyo Lebron James hajavaa hizo converse kwa ajili ya kuchezea basketball bali amekuja navyo kutoka huko alipotoka nyumbani kwake kama vazi tu la kutembelea,,, Ukitazama picha vizuri kuna viatu vya kuchezea basketball vipo nae hapo.. na hapo alishaanza kuvua all star hizo ili avae viatu vya kuchezea b ball

Tazama kati kati ya miguu ya lebron kuna nini ?
 
Huyo Lebron James hajavaa hizo converse kwa ajili ya kuchezea basketball bali amekuja navyo kutoka huko alipotoka nyumbani kwake kama vazi tu la kutembelea,,, Ukitazama picha vizuri kuna viatu vya kuchezea basketball vipo nae hapo.. na hapo alishaanza kuvua all star hizo ili avae viatu vya kuchezea b ball

Tazama kati kati ya miguu ya lebron kuna nini ?
Daah!

1693308564853.png
 
Tuendelee

11.Converse Reacts-Larry Johnson
1693515460416.png


12.Reebok Kamikaze
1693515513297.png


13.Air Jordan IX
1693515559040.png


14.Nike Shox Vision TB
1693515646593.png


15.Nike Blazer
1693515716787.png


16. Air Jordan VIII
1693515768478.png


17.Grant Hill Fila 1995
1693515859974.png


18.Nike Hypermax

1693515915607.png


19.Nike Air Jumpman Pro
1693516003232.png


20.Nike Zoom Huarache Trainer

1693516101423.png
 

Attachments

  • 1693515621485.png
    1693515621485.png
    13.9 KB · Views: 6
Back
Top Bottom