AiseeConverse all star hiyo unachezea Basketball gani?
Fishing basketConverse all star hiyo unachezea Basketball gani?
Kama hukujua, sasa ndio umejua
Hivi ndio viatu vya kwanza kutengenezwa maalumu kwa basketball
Angalia huyu legend mwenyewe anazijua
View attachment 2732095
Daah!Huyo Lebron James hajavaa hizo converse kwa ajili ya kuchezea basketball bali amekuja navyo kutoka huko alipotoka nyumbani kwake kama vazi tu la kutembelea,,, Ukitazama picha vizuri kuna viatu vya kuchezea basketball vipo nae hapo.. na hapo alishaanza kuvua all star hizo ili avae viatu vya kuchezea b ball
Tazama kati kati ya miguu ya lebron kuna nini ?
1, 4, 6 sitaacha kuvaa
Mbishi manundu, Hajui na hataki kujua kabisa.