Songa Heri
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,724
- 1,873
Sasa kunamaana gani kutoa ranks kwa kampuni ambazo taarifa zake ziko kwenye mitandao na kuacha zile ambazo hazina taarifa huko lakini zingefaa kuwepo kwenye list? Bora wangetumia muda mrefu ila wakaja na list iliyojitoshelezaTBL ni "quoted company" taarifa zake ziko wazi kwenye mitandao; MeTL taarifa zake zinapatikana wapi ili umma ujue mapato yake?
Kuna watu humu ndani wapumbavu sana wanashindwa hata kusoma profile ya METL a conglomerate of over 10 companies spread over 11 countries. BTW how Forbes estimated METL to do a turnover of $1.9 bln, if didn't go through METL's books?MeTL = one of the biggest conglomerates in Africa, present in 11 African countries. Na wameemploy more than 11k people.
The only solution is to get rid of chama cha majingaGsus south Africa!!! . This is embarrassing for the rest of Africa. Yaani kampuni ya kuku inamapato kuliko.. Acha tu. We need to pull up our socks people.
Kila siku tunawaambia Mo muuza sura tuu hana hata robo ya pesa ya AzamInamaana TBL wanawazidi mapato MeTL? Smh
Zitaje hizo nchi na biashara zake???ingia azamgroup.com ujioneeKuna watu humu ndani wapumbavu sana wanashindwa hata kusoma profile ya METL a conglomerate of over 10 companies spread over 11 countries. BTW how Forbes estimated METL to do a turnover of $1.9 bln, if didn't go through METL's books?
Mkuu hyo list wameitoa kimihemko!! Huwezi sema taarifa za MeTL Group haziko mtandaoni..kwanza hyo source yenyewe mimi siiamini.Kuna watu humu ndani wapumbavu sana wanashindwa hata kusoma profile ya METL a conglomerate of over 10 companies spread over 11 countries. BTW how Forbes estimated METL to do a turnover of $1.9 bln, if didn't go through METL's books?
Mo hana pesa ya Azam Group, ila MeTL Group inaturnover safi kushinda Azam Group.Kila siku tunawaambia Mo muuza sura tuu hana hata robo ya pesa ya Azam
Unaijua Uba Group? Je, unaweza kuicompare na KCB? Chakushangaza Uba haipo hapo kwenye list, Vp Globacom ya Mike Adenuga?TBL ni "quoted company" taarifa zake ziko wazi kwenye mitandao; MeTL taarifa zake zinapatikana wapi ili umma ujue mapato yake?
MeTLZitaje hizo nchi na biashara zake???ingia azamgroup.com ujionee
Unafahamu mahesabu means tax? Hamna
kampuni inaweza ki-overdeclare tena private one.
METL largest storage n refinery for cooking oil in the region
METL largest textile production company in the region
METL largest sisal products producer n exporter in the region
METL largest dealer n distributor of Vodacom via Safona.
METL largest logistic company in the region Glenrich with over 1000 trucks
METL fastest growing gas n oil storage, distributor n marketeer in the region Staroil.
METL largest farming group in the region in sisal, tea, cotton, cashew n palmoil.
Wapi evidence?? ati Tea??? kweli wewe pumbaMETL largest storage n refinery for cooking oil in the region
METL largest textile production company in the region
METL largest sisal products producer n exporter in the region
METL largest dealer n distributor of Vodacom via Safona.
METL largest logistic company in the region Glenrich with over 1000 trucks
METL fastest growing gas n oil storage, distributor n marketeer in the region Staroil.
METL largest farming group in the region in sisal, tea, cotton, cashew n palmoil.
We my understanding of issues is more than petty arguments!Geza
Hizi ni lies za huyo muhindi....jamaa liongo sana...hamgusi Azam on anything,halafu utasikia yeye anasema 'he is a largest...',largest on lies!
Yes as individual!Wapi evidence?? ati Tea??? kweli wewe pumba
We my understanding of issues is more than petty arguments!
Wewe Mkenya hujui chochote kuhusu METL zaidi ya ku-troll! Hatutumii "ndugu yangu au asimama au makamera"! Jifunze kiswahili fasaha ili u-troll vizuri.Geza
Petty arguments,una maana nimetoa petty arguments?
Ndugu yangu,mtu kwenye hesabu rasmi hesabu zake hazisemi hayo mapesa mnayoongelea,ila asimama mbele ya makamera anasema ana mapesa kiasi fulani...tuamini maneno ayasemayo kwenye camera au hesabu na assets alizonazo?
Tangu lini TV show ikaaminiwa?Siwezi muamini msema hovyo kwenye makamera mkuu...Ukiangalia kimauzo,ki-asset Mo Dewji ni fraction ya Azam Group of companies!Na hesabu za Azam zinajulikana,eti leo uje niambia kwa maneno ya mdomo tu eti Mo anaongoza TZ,nikuamini who are you really?Mo mwenyewe simuamini kwa maneno yake,wewe keyboard expert mwenzangu nikuamini tangu lini..?
Halafu unasema petty arguments,who are you to judge my arguments since they belong to me,not you..what you gave is an opinion mzee Geza!