Top 100 universities and colleges in africa 2012.

Chuo Kikuu cha Nairobi chaongoza Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Makerere cha pili na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha tatu.

Kenya yaingiza vyuo bora 7 kati ya 100 katika Afrika, Tanzania yaingiza vyuo viwili na Uganda chuo kimoja tu. Ni dhahiri kuwa Kenya wanatisha hata kama hatuwapendi, takwimu zinajieleza.
 
Daamn,

Rand wametupwa namba tano? Cape wamechukua chart?
 
Top 100 kwa kujulikana au Academic perfomance mbona hata haileleweki hiyo rank inaeleza top 100 kwa mambo gani
 
Halafu kama ni mwaka 2012 mbona ndiyo tuko mwezi wa kwanza research, research impact, result ,result impact ,collaboration , collaboration impact kama vigezo vinavyotumika kupanga the best univert rank sasa hiyo rank haijaonesha hata hivyo vigezo maanake haina maana yaani haeleweki
 

Hao waliotoa hizo rank akili zao ni finyu kama za Prof Mkandara wa UDSM.Afadhali na wewe umeona uzushi wao,rank za mwaka 2012 wakati vyuo kibao ndio vinamalizia mwaka 2011/12 vianze mwaka 12/13 .Sio kila kinachowekwa kwenye net ni sahihi tunatakiwa kuwa great thinkers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…