Tayari mkuu huku mwendo wa nyama choma na vileo Ingawa situmii vileo kwa miaka hiiUsharipoti tayari ???
Mimi mwenyewe nipo napata hapa.
upo bongo?Tayari mkuu huku mwendo wa nyama choma na vileo Ingawa situmii vileo kwa miaka hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh!! Una macho makali
Hahaha!Tayari mkuu huku mwendo wa nyama choma na vileo Ingawa situmii vileo kwa miaka hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unacheka sasa ???Teh teh teeeeeh!!
Huaminikiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona unacheka sasa ???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukaribishane.
Mwenyewe sielewi mimi ni mtu ama robotMshana Jr
Numbisa
Shunie
Sakayo
Erythrocyte
Watu 8
Kiranga
Njooni mtuthibitishie. Nyie ni watu kweli AU maroboti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana.
Nimekununia.Hahaha!
Mimi mwenyewe napiga nyama hapa.