mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
1.MECHANICAL ENGINEERING-
hii ni moja ya kozi nzuri sana , na ndo ina soko kuu kwa sasa tanzania. kutokana na uvumbuzi wa gesi ambao operation zake zinategemea sana hii major, mechanical inahusu scta ya nishati kwa karibu kabisa na watu wake wanaweza fanya kazi, viwandani, power plant, consulting film, tanesco, ministry of energy, migodini na uhitaji wao kwa sasa ni mkubwa sana.
2.CIVIL ENGINEERING-
hii ni moja ya kozi ambazo tunasema huwezi lala njaa, uhitaji wa hawa watu wa civil ni mkubwa sana kwa sasa kutokana na infrastructure growth in tanzania, pia watu hawa wanaweza fanya kazi katika consulting film, viwandani, migodini.
3.ELECTRICAL ENGINEERING-
power engineering, watu hawa wanahusika na umeme, uhitaji wa watu hawa unazidi kuongezeka kila siku, makampuni mia kwa mamia yanaingia tanzania katika secta hii, ina uhusiano wa zaidi ya 50% na MECHANICAL ENGINEERING, watu hawa pia wana intergral knowlegne of both COMPUTER ENGINEERING AND ELECTRONICS/TELECOM( the core of electronics/computer/and telecom) .Watu hawa wanaweza fanya kazi, MIGODINI, MAKAMPUNI YA SIMU, VIWANDANI, CONSULTING FILM, CONTRACTORS, WIZARANI, TBS, POWER PLANT NA TANESCO.
Kozi hizi zinapatikana Chuo kikuu cha uhandisi UDSM- CoET. hizi ndo tatu best zinazofatia zimepitwa mbali sana.make ur selection works