We naye kichwani garasha tu....!!!
Bila mashaka umetoka kukalili ukaja kuandika ili uonekane unajua kumbe zero brain1.Zico
2.Karl Heinz rummanige
3.Eusebio.
Chief unaongea usichokijua ila sitaki kukuwekea pingamizi maana unaonekana umebalehe juzi wakati wa makuzi ya mess na Ronaldo sidhani kama hata De lema umemwona ww zaidi ya kuhadithiwa tundiye the best.. hatuwez kumweka pele... enzi zake soka halikuwa na ushindani mkubwa, pia kulikuwa hamna sheria nyingi za soka kama sasa, kulikuwa amna mabeki visiki kama nyakati hizi.... hivi enzi za pele kulikuwa na vitasa kama kina ramos ? puyol ? gattuso ? vidic ? jibu unalo.
halafu hata sheria za offside hazkwepo, unaweza kuta nusu ya magoli aliyofunga aliotea.. i do respect his talent, ila messi anastahili kuwa namba moja.
Nadhani mpira naufahamu kabla hujazaliwa.laiti ningekuwa nakufahamu nisingekujibu.Stupid!!!?Bila mashaka umetoka kukalili ukaja kuandika ili uonekane unajua kumbe zero brain
"Kukalili"!!!?Bila mashaka umetoka kukalili ukaja kuandika ili uonekane unajua kumbe zero brain
Mueleze ajue.safi sana.Chief unaongea usichokijua ila sitaki kukuwekea pingamizi maana unaonekana umebalehe juzi wakati wa makuzi ya mess na Ronaldo sidhani kama hata De lema umemwona ww zaidi ya kuhadithiwa tu
Hata huyo mtoa uzi nae kakaririshwa tu hapo hakupaswa kabisa kumweka huyo mtoto,
Kuna mtu huyo wakuitwa PELE
ogopa sana hiyo namba mkuu eti sheria ya ofside haikuwepo we kichaa kweli
Maradona hapa pia yupo sahihi
Lakini katika kizazi hiki ni mmoja tu wa kumweka hapa Ronadinho gaucho japo yeye alizidiwa mbali sana na jjokocha sema okocha aliwahi sana kuvikacha vilabu vikubwa,
Asee huyo mesi hata George weaya hamfikii
Jaribu tu hata kuingia youtube Afu uamue mwenyew acha mihemko ya ushabiki weka ukweli wa fikra zako
Chief unaongea usichokijua ila sitaki kukuwekea pingamizi maana unaonekana umebalehe juzi wakati wa makuzi ya mess na Ronaldo sidhani kama hata De lema umemwona ww zaidi ya kuhadithiwa tu
Hata huyo mtoa uzi nae kakaririshwa tu hapo hakupaswa kabisa kumweka huyo mtoto,
Kuna mtu huyo wakuitwa PELE
ogopa sana hiyo namba mkuu eti sheria ya ofside haikuwepo we kichaa kweli
Maradona hapa pia yupo sahihi
Lakini katika kizazi hiki ni mmoja tu wa kumweka hapa Ronadinho gaucho japo yeye alizidiwa mbali sana na jjokocha sema okocha aliwahi sana kuvikacha vilabu vikubwa,
Asee huyo mesi hata George weaya hamfikii
Jaribu tu hata kuingia youtube Afu uamue mwenyew acha mihemko ya ushabiki weka ukweli wa fikra zako
Kitu kikubwa nachotaka uelewe ni kuwa huyo mess hafai kabisa kuwekwa hapo huwezi kumweka hapo xavi ukamwacha George weaya,huwezi ukamweka Ibramovic ukamwacha Gaucho,hivi huoni hata unapoorodhesha ww unatafta kizazi cha ulichoanza kuangalia mpira? Namaanisha miaka ya kuzama meli ya mv victoria,hadi leo ndo maana mtu kama Weaya humweki hapo,mtu kama.....any way umeandika unachokijua sio MbayaNi mawazo yako mkuu. Gaucho hata kwenye 10 bora humpati. Sasa iweje aingie kwenye list ya mababu zake i mean
- MESSI
- DIEGO
- PELE
- Zidane
- Requelme
- De lima
- Ibrahimovic
- Gaucho
- Iniesta
- Xavi
Sasa naomba facts kuhusu gaucho!