Mathematician JF-Expert Member Joined Nov 8, 2009 Posts 327 Reaction score 109 Nov 3, 2022 #1 Habari zenu wadau wa jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali. Naomba kujua top brands za karatasi zinazotumika na kukubalika sana hapa za Tanzania. Nikisema brands namaanisha hizi Rotatrim, HP, Paperline, Golden Start, Double A etc.
Habari zenu wadau wa jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali. Naomba kujua top brands za karatasi zinazotumika na kukubalika sana hapa za Tanzania. Nikisema brands namaanisha hizi Rotatrim, HP, Paperline, Golden Start, Double A etc.