BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
malizia na zidanKwa mujibu wao nilichokielewa huwezi taja list ya wachezaji bora wa muda wote bila ya kuwataja....Maradona, Pele, Ronaldo na Messi..
Tajeni weee ila malaika na shetani wanajua Ronaldinho ndio baba lap
Naomba ieleweke kwamba tunapotaja wachezaji bora huwa tunamaanisha wanadamu wenzetu wa kawaida wanaocheza mpira. Na sio alliens kama Ronaldinho Gaucho. Lile jamaa ni JINI la soka. Hebu tuendelee kuwapambanisha hawa wanadamu wenzetu!
hao pundits ni wanadamu kama wewe, sio malaika. Pamoja na hayo, bado na wao list zao zimetofautiana. Sasa sielewi kwanini unataka mtizamo wangu ufanane na wa kwako. Kwani ulileta mada ili kila mtu aunge mkono mawazo yako?Mpira sio chenga peke yake kijana, angalis na mafanikio pia...muwe mnafuatilia basi sio ushabiki tu..It means hao ma-pundits hawajui mpira sio!
hao pundits ni wanadamu kama wewe, sio malaika. Pamoja na hayo, bado na wao list zao zimetofautiana. Sasa sielewi kwanini unataka mtizamo wangu ufanane na wa kwako. Kwani ulileta mada ili kila mtu aunge mkono mawazo yako?
Kwa mujibu wao nilichokielewa huwezi taja list ya wachezaji bora wa muda wote bila ya kuwataja....Maradona, Pele, Ronaldo na Messi..
Hata mi nashangaa.maana mi naamini zidane na ronaldo de Lima ni zaidi ya hao kina messi..ila ababaki mmoja tu ambaye ni undisputed.. Ronaldinho..hakuna kama yeye na hatokuja kutokea daimaahao pundits ni wanadamu kama wewe, sio malaika. Pamoja na hayo, bado na wao list zao zimetofautiana. Sasa sielewi kwanini unataka mtizamo wangu ufanane na wa kwako. Kwani ulileta mada ili kila mtu aunge mkono mawazo yako?
Hata mi nashangaa.maana mi naamini zidane na ronaldo de Lima ni zaidi ya hao kina messi..ila ababaki mmoja tu ambaye ni undisputed.. Ronaldinho..hakuna kama yeye na hatokuja kutokea daimaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna Delima, Hamna Gaucho walikuwa wanataja nini? Wamkumbuke hata Shaulin basi....