Top 5 Greatest Players Of All Time!

Top 5 Greatest Players Of All Time!

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
Wachambuzi wa soka katika kituo cha runinga cha Sky Sports Wametaja wachezaji wao Watano Bora wa muda wote.

Kupitia kipindi cha #The footballShow, Ma-pundits wa Sky Sports, Graeme Souness, Jamie Redknapp, Paul Merson na Alan Smith, walitaja wachezaji wao wa tano bora wa muda wote.

Screenshot_20200505-130630_Instagram.jpg
Screenshot_20200505-131359_WhatsApp.jpg

Je, pundit yupi unaunga mkono orodha yake, akiwemo mdau wenu BlackPanther?

Mussolin5
FORTALEZA
Yekeyeke Mshua
Aleyn
PNC n.k

Ahsanteni!
 
Naomba ieleweke kwamba tunapotaja wachezaji bora huwa tunamaanisha wanadamu wenzetu wa kawaida wanaocheza mpira. Na sio alliens kama Ronaldinho Gaucho. Lile jamaa ni JINI la soka. Hebu tuendelee kuwapambanisha hawa wanadamu wenzetu!
 
Tajeni weee ila malaika na shetani wanajua Ronaldinho ndio baba lap

It means ma-pundits wote hao hawajui mpira? Sawa hayo ni maono yako mkuu...and not only pundits wametaja wachezaji wao bora wa muda wote, fuatilia hata katika vikosi bora vinavyopangwa na Professional's football coaches, Great star players and the world's biggest football analysts, ujionee most of them hawampangi...hapo hana nafasi...
 
Naomba ieleweke kwamba tunapotaja wachezaji bora huwa tunamaanisha wanadamu wenzetu wa kawaida wanaocheza mpira. Na sio alliens kama Ronaldinho Gaucho. Lile jamaa ni JINI la soka. Hebu tuendelee kuwapambanisha hawa wanadamu wenzetu!

Mpira sio chenga peke yake kijana, angalis na mafanikio pia...muwe mnafuatilia basi sio ushabiki tu..It means hao ma-pundits hawajui mpira sio!
 
Mpira sio chenga peke yake kijana, angalis na mafanikio pia...muwe mnafuatilia basi sio ushabiki tu..It means hao ma-pundits hawajui mpira sio!
hao pundits ni wanadamu kama wewe, sio malaika. Pamoja na hayo, bado na wao list zao zimetofautiana. Sasa sielewi kwanini unataka mtizamo wangu ufanane na wa kwako. Kwani ulileta mada ili kila mtu aunge mkono mawazo yako?
 
Are you serious!! Ebu nionyenye wapi nimekutaka au kukulazimisha ufuate nnachokiamini mimi?

Unaposema hao Pundits ni binadamu kama mimi kana kwamba wamepitiwa ama kukosea sio, basi naomba uniletee hao unaowajua wewe ambao wako sahihi kwako, wanaomkubali mchezaji unaemtaka wewe...mimi nimeweka hao pundits wenye ujuzi wa maswala ya soka na wanoajua mpira zaidi yangu mimi na wewe pia, hapo chini nikataja wa kwangu pia bila kulazimisha au kutaka kiumbe chochote kifuate nachokiamini, upo hapo kijana!!

  • Thanks
Reactions: PNC
Tokea kuumbwa kwa ulimwengu huu hajawahi kutokea mchezaji wa kandanda alietimia kila idara kama Edson Arantes do Nascimento sio goalscoring machine Freekick, Drible, skills, head,speed,stamina,Power,assist, defending hadi nidhamu kila kitu yupo vizuri na haya tunayoyaona saizi kwenye YouTube ni asilimia 1 tu ya kile alichokifanya uwanjani.
MUITE PELEEE.
 
hao pundits ni wanadamu kama wewe, sio malaika. Pamoja na hayo, bado na wao list zao zimetofautiana. Sasa sielewi kwanini unataka mtizamo wangu ufanane na wa kwako. Kwani ulileta mada ili kila mtu aunge mkono mawazo yako?
Hata mi nashangaa.maana mi naamini zidane na ronaldo de Lima ni zaidi ya hao kina messi..ila ababaki mmoja tu ambaye ni undisputed.. Ronaldinho..hakuna kama yeye na hatokuja kutokea daimaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna Delima, Hamna Gaucho walikuwa wanataja nini? Wamkumbuke hata Shaulin basi....
 
Comments nyingi naona watu wakilalamika tu baadhi ya wachezaji wanaowapenda kutokuwepo hiyo ni list tu ambayo kila mtu anaweza taja ya kwake yupi ni mchezaji bora wa muda wote kwake hata mm ni naya kwangu pia pele na Maradona sitawaweka kwenye list yangu.
 
Hata mi nashangaa.maana mi naamini zidane na ronaldo de Lima ni zaidi ya hao kina messi..ila ababaki mmoja tu ambaye ni undisputed.. Ronaldinho..hakuna kama yeye na hatokuja kutokea daimaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado haujajua mpira chief,,endelea tu kushabikia,,,na Itakua umeanza kufatilia mpira siku mkulu anagombea uraisi

Hamna Delima, Hamna Gaucho walikuwa wanataja nini? Wamkumbuke hata Shaulin basi....

Wanataja wachzaji bora wa mda wote chifu,,,gaucho kadumu kwenye ubora muda mfupi sanaa,,,bora ungesema Xavi au iniesta lakini bado ngumu kumtoa mmoja wao hapo,,labda van basten atoke aingie Iniesta or Xavi.
 
pele,ronaldo,mess van basten na maradona kutowakubali hawa ni majungu tu,.hawa kwanza wengine akina sijui zizu,dinyo okocha,xavi iniesta robben ndio muwachagulie nafasi
 
Back
Top Bottom