BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
- #61
Upo sahihi sana we jamaa. Unapoleta mjadala usitake maoni yako ndo yawe sahihi.
Ndio tatizo la waswahili, huwa mnakurupuka bila kusoma kwa umakini...hebu nionyeshe wapi nimelazimisha anifuate nnachokiamini mimi? Mimi mtu mzima na akili zangu, huwa sifuati mkumbo kama nyie, nafuata kile nnachokiamini mimi na wala silazimishi uchache wenu mnifuate...and not just me, but the coaches themselves waliobobea na wanaojua nini maana ya mpira, hata katika upangaji wa the best squads of all time Messi na Diego huwa hawakosekani, tofauti na other players...
Tatizo wabongo mpo kishabiki na sio kisoka That's the truth kamanda...lazima niongee ukweli!