JMushi, ndio yaleyale hata Mandela alikuwa terrorist katika nchi yake, na watu wa ANC walikuwa kwenye list, na ni watu waliokuwa wanagombania Uhuru wao. Kuna mambo ambayyo siyazimii, yaani kuna watu ndio wana uwezo wa kuamua kukuweka wewe kama terrorist au kukutoa (Hata kama unapigania Uhuru wako)