TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

Status
Not open for further replies.
Acha kuishi kwa assumption wewe... A spade will always be a spade... Sema kama unajua..otherwise, funga kiongeleo hicho.
Heshima Mbele Mkuu
Tukimsema tutafungiwa, wewe mfananishe tu huyo mtoto mvulana wa Vick kamata na Baba yake ,yaani bila kupepesa macho nasema wanafanana sana . Do your home work utakubaliana nami .Mbona wengine wemeshang‘amua bado wewe tu
 
haha umeonaeee...

(ila to be honest wanatudhalilisha sana as wanapogawa papuchi watuthibitishia kuwa ni kwanini walipewa hizo nafasi, ngoja nikafuge kuku mie)

Hili jambo linakera sana kwa kweli....Na limewafanya baadhi ya wanaume kuwazuia wake zao kuingia kwenye siasa uchwara za Bongo. Na imefikia mahali mwanamke akishafanikiwa watu wanaanza kuprobe mtandao wake badala ya uwezo binafsi.

Hata hivyo, kuna akina WomanOfSubstance ambao nawaheshimu sana kwa kufanikiwa kwa jitihada zao wenyewe bila kupitia langu kuu!!

Babu DC
 
Last edited by a moderator:
Tupeni na list ya wabunge Wamama wenye mvuto; Lwakatare, Makinda, Migiro, Kilango, Manyanya nk.
 
 
uweke na ya mawaziri kuna yule naibu waziri wa katiba
Angel kairuki.....dah....dada ana shep na sura nzuri acha
 
mkuu kwanza umetumia vigezo gani maana hakuna mmoja wa kuitwa mrembo, pili kama umeshajitolea nenda na kule baraza la wakilishi Zanzibar ukachugue Top 5 , kisha ndio uje utuekee top 5 ya jumla! pliiz fanya hivyo mwamba
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…