Senior Boss JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 3,405 Reaction score 3,689 Jun 10, 2014 #21 Utingo said: uko sahihi...lakini kumbuka kuwa ukiwa Tsh billionaire lazima uwe USD Millionaire....uliwahi kusikia wakisema kuna USD millionaires Arusha? au ni ubillionares wa kunyang'anyana makahaba? Click to expand... 1. (Kwenye Red)---> Its an obvious fact. 2. (Kwenye Green)---> Hujaeleweka.
Utingo said: uko sahihi...lakini kumbuka kuwa ukiwa Tsh billionaire lazima uwe USD Millionaire....uliwahi kusikia wakisema kuna USD millionaires Arusha? au ni ubillionares wa kunyang'anyana makahaba? Click to expand... 1. (Kwenye Red)---> Its an obvious fact. 2. (Kwenye Green)---> Hujaeleweka.
Y Yusuph Issa JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 528 Reaction score 82 Jun 10, 2014 #22 stata mzuka said: Wamewasahau MACHALII wa Arusha maana kuna BILIONEA wengi sana,,,teh teh teh Click to expand... arusha kuna mabilionea mkuu? kweli dunia ina mengi ya kustajabisha hebu wataje hao mabilionea na sisi tuwafahamu!!!!!
stata mzuka said: Wamewasahau MACHALII wa Arusha maana kuna BILIONEA wengi sana,,,teh teh teh Click to expand... arusha kuna mabilionea mkuu? kweli dunia ina mengi ya kustajabisha hebu wataje hao mabilionea na sisi tuwafahamu!!!!!