sijui nani
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 297
- 308
Mafuvu yupo club de france siku hiziaisee mafuvu all the way dah! sifa zilijaa kichwani akaenda na maji
unajua huwaga unavunja sana mkuu..Dj sinyorita nikisikia yupo kwenye mashine nazima redio kisha naingia
www.youporn.com au xvideoz.com
Navunja nn ?unajua huwaga unavunja sana mkuu..
majibu yako huwa ni ya haja sana..wanaume wa dar wangesema si yamchezo mchezoNavunja nn ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dj sinyorita nikisikia yupo kwenye mashine nazima redio kisha naingia
www.youporn.com au xvideoz.com
dj tass next level, dj of all time is dj jd(john delinga maclow )Hawa ndio list ya madj bora kabisa katika kipindi hiki
1😀j d ommy kijana anajituma sana anapiga kazi Clouds fm na pia ni award winning dj Afrimma
2.Dj mafuvu,the turn table master previously alikuwa east africa radio cjui sk hizi yuko wapi
3.Dj Zero wa mawingu fm
4.Dj tass magic fm
5.Dj sinyorita mawingu fm
Jamaa yuko vzur sana namuelewakweli kaka K U level zingine
HahahahaDJ Mbowe is the best
MnyamaaaaaaaaOmmy crayz
dj summer na dj dea ni noma na nusuMm kwangu list yangu ni kama ifuatavyo
1.dj maliz
2.dj pq
3.dj mafuvu
4.dj summer
5.dj Simba
6.dj eddy
7.dj jeffjerry
8.Dj Tass
9.dj ally b
10.dj Dea
Hao kwangu mm n the finest in Tz