Top five rappers!

Top five rappers!

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,229
Baada ya kusikiliza album kadhaa, kuanzia ya Jay z Magna carter holy grail, Kanye west Yeezus, Kendrik lamar, na nyingine nyingi zilizotoka 2013 NA 2012. nimebaki sina cha kufanya isipokuwa kukubaliana na ukweli uliopo wanaosema wadau kama huyu apo chini. kuwa hawa ndo Top five rappers of all times. Na hii ni baada ya kusikiliza Marshall Mathers LP 2.

1.EMINEM
2.SLIM SHADY
3.MARSHALL MATHERS
4.B.RABBIT (AU BABA HAILLIE MATHERS)
5.THE WHITE GUY FROM D-12
 
Attachments

  • emi.jpg
    emi.jpg
    11.5 KB · Views: 184
Hivi uzee unaanza ukishafika miaka mingapi? Manake nishaanza kupata wacwac kwamba nshazeeka sasa manake wote uliowataja namfahamu Eminem peke yake wakati ingekuwa ni miaka flan hivi iliyopita, ningeanza kwanza kushusha lyrics za kila mmoja kisha tunaanza mjadala! Naogopa aisee, ndo maana cku hizi hata kuangalia soka mbele za watu, sitaki kabisa manake utakuta junk anabronga kidogo tu, anaitwa mzee wakati hata thate bado!
 
Baada ya kusikiliza album kadhaa, kuanzia ya Jay z Magna carter holy grail, Kanye west Yeezus, Kendrik lamar, na nyingine nyingi zilizotoka 2013 NA 2012. nimebaki sina cha kufanya isipokuwa kukubaliana na ukweli uliopo wanaosema wadau kama huyu apo chini. kuwa hawa ndo Top five rappers of all times. Na hii ni baada ya kusikiliza Marshall Mathers LP 2.

1.EMINEM
2.SLIM SHADY
3.MARSHALL MATHERS
4.B.RABBIT (AU BABA HAILLIE MATHERS)
5.THE WHITE GUY FROM D-12

Hayo yote ni majina ya Eminem.
 
Eminem is the King of Hip hop katika ulimwengu huu wa sasa.Ila wapo wataobisha tuuuu!!!
 
Acheni utani drake anatisha sikiliza kitu kipya trophies kama uko mbele Najua umekisikia tayari
 
Kwahy unataka kusema Eminem ndio rapper bora
 
Nyie mnaskiliza rap kweli

Nazani hasikilizi rap, kwa tunaoijua rap ni bora tukae kimya kulingana wa uelewa wa huu muziki ulioonyeshwa na wachangiaji waliopita kwenye thread hii
 
Back
Top Bottom