Baada ya kusikiliza album kadhaa, kuanzia ya Jay z Magna carter holy grail, Kanye west Yeezus, Kendrik lamar, na nyingine nyingi zilizotoka 2013 NA 2012. nimebaki sina cha kufanya isipokuwa kukubaliana na ukweli uliopo wanaosema wadau kama huyu apo chini. kuwa hawa ndo Top five rappers of all times. Na hii ni baada ya kusikiliza Marshall Mathers LP 2.
1.EMINEM
2.SLIM SHADY
3.MARSHALL MATHERS
4.B.RABBIT (AU BABA HAILLIE MATHERS)
5.THE WHITE GUY FROM D-12
Kuna rick Ross
Acheni utani drake anatisha sikiliza kitu kipya trophies kama uko mbele Najua umekisikia tayari
huwezi mlinganisha eminem na drake huyo drake level zake ni macklemoreAcheni utani drake anatisha sikiliza kitu kipya trophies kama uko mbele Najua umekisikia tayari
Nyie mnaskiliza rap kweli
Kuna rick Ross
Kwahy unataka kusema Eminem ndio rapper bora
Jay z,kanye,Wayne,rick,nas,