Top five rappers!

Today news kanye earns 7th album straight platinum album with yeezus.
 
The game alikuwa anafanya vizuri wakati Yupo aftermath,but since he signed to cash money records.tutaona
 
All-Time Favorites wangu ni THE GAME na TI....
The Game is realiest hata lyrics za nyimbo zake nyingi...unafeel the honesty......T.I,Napenda the way anavyorap with 'articulation'.....yaani unaweza ukasikiliza na mzee halafu ukawa hupati shida kumconvince 'the real talk'....#WordByWord ..ni hao tuuuu..
 
Kendrick Lamar ni noma na Ace hood
 
Lyrically...hakuna kama Eminem kwenye ulimwengu huu wa Hip Hop kwa sasa!
 
 
Kendrick Lamar ni noma na Ace hood

Tafuta MMLP2 Track number 14. Game of love. Eminem ft kendrik.. ukishasikiliza ndo uje utoe majibu kati ya Eminem na Kendrik.
 

hivyo vitu ulivyovisema kwa ti na the game Eminem anavyo pekeyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…