Top funniest member in JF ever..

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
jamiiforum ni mkusanyiko wa kila aina ya watu, wenye uwezo na wasio na uwezo, GT na wasio GT, etc wote hao wanakamilisha circle ya maisha ya mwanadamu {life}

Kuna watu kazi yao humu nikutufanya tucheke na kufurahi muda wote tunaposoma michango yao. upande wangu kuna member kadhaa wanaonivunja mbavu sana naposoma michango yao, watu hao nimesoma michango yao yote toka wajiunge jf. hua natenga hata masaa 3 usiku nasoma michango yao humu. wafuatao ni watu wanaonichekesha sana naposoma michango na mada zao, waweza ongezea wakwako.

  • MSAGA SUMU . uwasiilishaji wake wa mada humuu ndo unanivunja mbavu hasa akiwa anamzungumzia le mobimba.
  • GuDume nani asiyemjua huyu mzee wa chai ? hana utofauti mkubwa na pimbi kwa harakati zake za totoz
  • General Galadudu nahisi huyu ni pacha wake gudume kutokana na harakati za kusaka totoz.
  • @Seneta_wa_mtwizi mzee wa zali la mentali na madem wa kishua mwongo sana huyu kiumbe.
  • Padri Mcharo una weza mwita katibu mwenezi wa chaputa upande wa mashuleni na vyuoni, ana GPA ya 78 toka Udsm
  • Mikwara Ya Andunje boya sana huyu mtuu. kila komenti yake anajifanya ni le bilionea toka bunju
  • The List mzee wa imbecile, empty set,maharage mabichi sijui kapotelea wapi
  • baba swalehe jinga sana huyu daktar wangu, akili yeye anazitumia kama toilet papper.
  • @sergio5 @HR666 Alonso14 watukanaji wakubwa humu wanatukana bila sababu kwakua nimewazowea nabaki nacheka tu.
  • Matola hili jamaa linamitusii na maneno ya kashfa kama nini yaani, btw hua nabaki nacheka tu.
  • Mbao za Mawe ana demu wake anaitwa Saida said wakikutana hua nacheka sana

All in all naheshimu kila member humu ana umuhimu wake, no offence
 
3rd Anniversary ya Blogu ya Wananchi, Nchi ilisimama kwa masaa kadhaa - JamiiForums
 
Tuwekee na ugliest members ili tuwakutanishe na Hawa funiest
 
Principle tano za kuzingatia napopiga punyeto usiku.. - JamiiForums
 
Seneta Wa Mtwiz
witnessj kama unaweza haya natangaza ndoa mapema sana nawe
[Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa - JamiiForums
 
Laiti kama jana ningekuwa na ka manati kangu ka kizungu hata cjui nini kingetokea - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…