Top gun grumman f-11 supersonic fighter & a tiger who had bitten its own tail: ndege vita iliyojipiga yenyewe kwa kukimbia speed kuzidi kombora lake

Noma sana kaka
Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
 
Magufuli anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.
 
Huwa nakaa natafakari Sana hawa jamaa hasa wakiwa makini wakifanya aerodynamic analysis ya ndege zao kabla ya uundaji na wanakuja kupata matokeo yaleyale kiukweli wanafikiria kwa kina sana hivi sisi waafrika kwanini hatuwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…