-Hao wanaomiliki kadi za ccm huko vyombo vya usalama na ulinzi hao ndio wamejifanya kuwa chama cha mapinduzi
-hao ndio wanapigana kufa na kupona ccm iendelee ku exist
-wengi wao ni wanachama na kadi wanazo
-hao ndio wana waandama washindani wa ccm na wakosoaji