Tumechoshwa na uhuni wenu mnaotuletea hapa jamvini.Umejiunga leo kwa kazi hiyo tu?!!!!!!!!!!.Hivi hawa wezi wanawalipa shilingi ngapi?Au ni wewe mmoja kila siku unajiunga ili utuletee huu upuuzi wa kikanada na kinaijeria,msituchoshe tafadhali.Fanyeni kazi zenu wenyewe.