Ipo siku mtamkumbuka D.Trump wakati tayari mtakuwa mmeshachelewa, kinachokuja huko mbele ni
pure evil, hata Kanisa limeanza kuona,
D.Trump ndiye pekee aliyekuwa anawazuia Globalist kuwafanya Watumwa, sasa wote ni
lazima mpigwe chanjo na huo ndio mwanzo tu, ...
Full video hapo chini.