Top reasons why people marry

sababu kubwa ni upungufu wa mbinu za kurubuni!!
 
If I will marry someone it will only be for love and nothin else.
 
ubarikiwe!
Amina kamanda.
nasikia wengine wanaoa kwa kuwa wanapendana milele. ukifa na pendo laenda na wewe hakuna milele. kilichopo ni kulala bila nguo za ndani usiku na ktk entirely ndoa life kujaribu kuwa perfect while you are not.

Nimeoa na ninalala nae bila ANDAWEA usiku kila siku. ingawa competition haina time yake maalum.
 
Imeandikwa kuwa WANAUME WAWAPENDE WAKE ZAO ILI HALI WANAWAKE WAWAHESHIMU WAUME ZAO

Kuna busara kubwa sana kwenye haya maandiko. Ukitizama kwa makini, migogoro mingi katika ndoa imejikita katika eneo hili.
 
Kuna busara kubwa sana kwenye haya maandiko. Ukitizama kwa makini, migogoro mingi katika ndoa imejikita katika eneo hili.

Imekuwa tofauti sana SMU kuna jinsia moja yenyewe inataka ifanyiwe hivyo vitu vyote both KUPENDWA NA KUHESHIMIWA lakini at the same time kutokana na mabadiliko katika maisha ya sasa hivi kila mtu anaona yeye ni bora kuliko mwenzake kutokana na HELA au KAZI anayofanya kitu ambacho kinatufanya tusiweze kurudi katika hayo maandiko (WANAUME WAWAPENDE WAKE ZAO ILI HALI WANAWAKE WAWAHESHIMU WAUME ZAO).
 
Naoa ili nipate uturivu moyoni. Ukiona umeoa kisha huna uturivu, ujue umekosea kuchagua mke.
 
Just to get kids and to have someone to take care of them....
 

Tatizo kubwa tulio wengi hatuna imani. Laiti kama kila upande ungeweza kutimiza maneno hayo ya Paulo kwa Waefeso shida nyingi katika ndio zingeondoka.

 
Katika kitabu cha Mathayo sura ya 19 imeandikwa, hivyo mtu atamwacha baba yake na mama yake na ataambatana na mke wake kuwa mwili mmoja.Hivyo kwangu mimi ndoa ni mpango wa mungu na anayepinga hilo basi anapingana na mungu.Tatizo kubwa lililotukaa sisi wanadamu wa leo ni kukosa uvumilivu na kujijali wenyewe kupita wengine,hii ni kwa jinsia zote wake kwa waume.Kama mke na mume wangetendeana vile ambavyo kila mmoja anapenda atendewe basi ndoa ingekuwa taasisi imara kuliko taasisi zote.Lakini mara nyingi haiwi hivyo na ndio sababu hata neno ndoa leo hii kwa baadhi ya watu linakosa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…