Magu anafanya vizuri. Kazi ya kusafiri safiri abaki nayo waziri wa mambo ya nje.
Rais akishobokea sana kusafiri lazima wamrubuni, au wamuharibu. Hawashindwi kumtegea ama sumu au mambo ya kashfa.
Asafiri nje Mara moja au mbili tu katika miaka yake ya uongozi au asikanyage nje mpaka urais wake utakapo isha. Makamu wa Rais au waziri mkuu ndie awe ana muwakilisha nje