Tetesi: Top secret: Sio Ikulu,Sio Tis wala kikosi maalumu kiliruhusu Risasi zitumike kwa waandamanaji je who authorize..

AH!
 
Ni waziri mkuu wa jamuhuri ya kiimla ya tanganyika Albert Bashite. Yule mgumba ambaye hajawahi kuwa baba na si rixiki
 
Your days are numbered! Tell your boss you henchmen
 
Igweeeeeeeeeee taarifa zakunyapia nyapia zimeniangukia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji. Sio kweli yani big No.

Kazi kwenu
Sio kweli kuwa hakuna anayejua sababu. Askari wote waliokuwepo pale wanajuklikana n walikuwa wanapoke amari kutoka kwa mkubwa wao
 
kama ni barua mwandikie mkeo na wanao kama wapo wanaweza wakakuelewa unachomaanisha, idiots
 
Anayewamiliki na kusimamia wasiojulikana anahusika kulingana na taarifa ya maandishi ya slow slow
 
Tokeni hapa mabwege nyie, msilete stori zenu hapa [emoji34]
 
mkuu hapa Tanzania kuna watu wanahasira yakutosha ukimpa Bomu akajitoe muhanga anaweza kwenda na hapa ndo serekali itulie wakati Wa kutoa maamuzi yake
 

Kwa mwigulu n.a. Bashite walivyo na roho mbaya,; sishangai wao ndio waliotoa amri iyo, Halafu Bashite atasababisha babake apelekwe the hague
 
Wewe Sasa ndo naona kama "we are sailing at the same boat"

Mimi huwa nachukia sana haya mambo ya watuliza fujo pamoja na viongozi (hususani wa Kisiasa) kusababisha madhara kwa watu huku wao wakiwa wapo salama usalimini

Mtu anashawishi watu kureact jambo kwa namna anavyojua yeye mwingine nae anakuja kuwazimisha -reactions zao kwa kutumia brutal tactics halafu yule aliyesababisha hadi watu waende kinyume wala hajali ndo Kwanzaa anaendlea kufanya madudu

Mfano yule mmoja siku ile kakusanya watu then iron boys wamekuja Kuwatimua yeye anaingia kwenye gari kawaacha wenzake wanapigwa halafu eti anatokeza kidogo anatangaza "...tarehe 12 naapishwa..."
 
Unamaaanisha hazikua ni risasi kama kawaida
yenu ya kupotosha?
Unataka kusema binti Aquilina aliuwawa kwa manati?
Yani uzi mfupi lakin kwa unachouliza kama haujaelewa kabisa embu rudi kuusoma tena
 
Sidhani kuwa askari walinda amani huwa wanasubiri amri toka kwa kamanda ili wapige risasi.

Nijuavyo mimi ni kuwa hawa askari wanakuwa na kanuni za kufuata katika kutumia nguvu (force escalation protocol), nazo ni hizi:

[emoji830]Uwepo wao. Kuwepo kwa polisi wenye sare zao na silaha inaweza kutosha kabisa kutuliza vurugu. Vijitu vioga kama mimi ukiwaona tu polisi unasepa.

[emoji830]Mabomu ya moshi. Kama watu hawataki kutawanyika baada ya kuwaona polisi basi polisi wanawatupia mabomu ya moshi kuwatawanya.

[emoji830]Maji ya washawasha. Watu wakiendelea kukaidi wanawamwagia maji ya washawasha au kutumia maji yenye nguvu (water cannons) kuwatawanya.

[emoji830]Risasi za mpira. Vurugu zikizidi polisi wanaweza kuwashambulia waandamanaji kwa kutumia risasi za mpira (rubber bullets) ambazo zinaumiza lakini ni nadra sana kuua.

[emoji830]Risasi za moto. Hizi hutumika kwanza kutishia tu zikipigwa hewani. Lakini kama askari akihisi maisha yake yapo hatarini anaweza kuzitumia kumlenga anaemkabili wakati wowote ule na hahitaji kibali toka popote pale.

Nilivyosikia kilichotokea katika yale maandamano ya juzi ya Mbowe yaliopelekea kifo cha Aquiline ni kuwa waandamanaji walikuwa wanatumia mawe kuwashambulia polisi. Polisi kadhaa walijeruhiwa. Polisi waliofyatua risasi za moto walikuwa wamepaniki na kwa bahati mbaya wakamuua yule binti na kujeruhi wengine ndani na nje ya basi.

Walichokifanya polisi ni kosa la kimapambano. Usimsogelee adui karibu hivyo kwamba unashindwa kufanya maamuzi sahihi kwa kuogopa kudhuriwa. Waliofyatua risasi walifanya hivyo kiharakaharaka na badala ya risasi zote kwenda hewani chache ziliwaathiri watu.

Hapa lawama ni moja kwa moja kwa jeshi la polisi na hasa wale askari waliofyatua zile risasi na kuwapata watu.
 
sasa unaposema mkuu wa taifa kwamba hakuamuru ni big NO unajielewa kweli? ww mwenyewe umesema risasi za moto huwa haiztumiki kwa wandamaniji unataka kusema amri ilitoka mbinguni au?sababu kama amri ilitoka kwa kamanda yyte wa jeshi maana yake kilikuwa na baraka toka juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…