Tetesi: Top secret: Sio Ikulu,Sio Tis wala kikosi maalumu kiliruhusu Risasi zitumike kwa waandamanaji je who authorize..

Unajua Magu na team yake wajue kuwa this is temporally. Ubabe na kujifanya miungu mtu. Huu sio ungwana kabisa. Na machozi ya haya watu hayataenda bure....
Hakuna zaidi ya kuleta shida ndani ya nchi.
 

Mkui nahisi hata magu anaweza kuwa ametumwa kuharibu nchi. Huu sio uongozi wao ndio wanaleta fujo. Kwanini wasisimamie amani badaa yake wanaingilia mchakato wa kupiga kura?
 
Ebo si hatubishani nao..
Walipewa ujumbe wa [HASHTAG]#Kwaresma[/HASHTAG] wakaupuuzia..
Si wanajifanya wakipewa amri hawatumii tena akili zao..??
Sasa waambie waandae risasi nyingi..
Tunaoelekea [HASHTAG]#Kibiti[/HASHTAG] tupo wengi..
Vichwa vyao halali yetu..
 
Shit hole
 
Na wewe unataka ukuu wa Wilaya Mavi kabisa
 
Management ya NEC na DED wa Kinondoni damu ya Binti wetu AAB iko juu yenu daima.

Awamu ya tano ili ijisafishe lazima iwachukulie hatua za kisheria na kuwafunga hawa watu.waliohusika ambao ni management yote ya NEC na DED wa Kinondoni.

Japo, tayari ICC imeisha pokea majina yao wote wanaohusika. Soon, mtachukuliwa.

R.I.P Binti yetu AAB,
Umekatishwa maisha yako kama mche wa kondeni.

Poleni mno mno familia, ndugu, jamaa , rafiki na watanzania wenzentu kwa msiba wa Ms. AAB.
 

Acha upofu na uhayawani kwani aliposema kule singida kama ni maandamano basi mbowe na wenzake wakae mbele ili awashughulikie alimaanisha nini,si ndo kilichotokea?alitoa amri wauawe kama alivyotoa amri lisu afe.kakobe yuko sahihi na lema yuko sahihi kifo ki juu yake
 

Katika watu wenye akili kama za nguruwe ndio wewe

Soma bandiko lako kama utalielewa
 
Radi. call ilitumika ni sir.o, na .ambosasa walitoa amri ya kupiga risasi
 
Yule askari alipiga risasi kwa Kigoma malima aliruhusiwa na nani acha upuuzi wako hapa
 
Mbona unamtetea Magu?

Kenya polisi walilinda Uhuru Park
Watu wakamiminika

Hatimae polisi wakaondolewa

Raila kajiaapisha

Je Kule Kenya sifa kwa nani?

Igp wa Kenya au UKENYATA?

Je hapa pia tumlaumu nani kwa mauji?

IGP AU MAGU? nimuongeze na MAMBO SASA?
 

Taarifa zinasema aliyekua akicommand wakati wote wa uchaguzi ni Paul MAKONDA
Ushahidi hata wakati Lazaro Mambosasa anahojiwa na ITV alisema “mimi niko field kwa sababu hata Mkuu wa mkoa ameniagiza kusimamia operesheni hii maalum na amesema hata yeye halali”

Wanaomlaumu Mwigulu hawamtendei haki Kwa Kuwa sio yeye aliyekua anatoa hizo amri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…