Top Secret

nice nice rev....ila umesahau namba kumi na moja.......zaa zaa ovyo mitoto mingiii....ambayo badae utashindwa kuipeleka shule nzuri
 
nice nice....ila umesahau namba kumi na moja.......zaa zaa ovyo mitoto mingiii....ambayo badae utashindwa kuipeleka shule.

Naam hio ingekuwa namba 1.1, Zaa bila mipango, ukipata wakati wa kupumzika, tengeza mtoto!!!!!!!
 
good work iko poa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.........................
 
you can fool people for sometime but you cant fool people all the time:teeth:
 
kinyume nyume juuuuuuuuu.....juuuu azidi
thax braza!!!!!!!!!
 
nice nice rev....ila umesahau namba kumi na moja.......zaa zaa ovyo mitoto mingiii....ambayo badae utashindwa kuipeleka shule nzuri

Asante sana hii niliisahau naiongezea fasta, zaa watoto wengi sana maana kila mtoto huja na bahati yake. Ukizingatia Mh Mkwere anajenga machinga kila mkoa, wilaya na kata wapo watakao kuwa chingaz na changudoa. Kwanza kusomesha kitu gani mbona wasomi hawana kazi.
 
Moyo uko radhi mwili dhaifu niubebee mbeleko gani mwili huu? vyote ni mali ya MUNGU!!
 
namba 8 inatuhusu sana kina dada.tunapenda sana baadhi yetu kushindana kuvaa na kujionesha.
 
nice nice....ila umesahau namba kumi na moja.......zaa zaa ovyo mitoto mingiii....ambayo badae utashindwa kuipeleka shule.

kila mtoto anakuja na riziki yake (utamsikia huyu nyi kwenu mko wangapi unajibu 7 mi wa 4 atajibu sasa mama yake angeishia watatu we ungekuwepo zaa bwana) mwe
 
Naam hio ingekuwa namba 1.1, Zaa bila mipango, ukipata wakati wa kupumzika, tengeza mtoto!!!!!!!

we unazaa mmoja tu (mungu, shetani, barabara, mchawi, gari, pikipiki, baiskeli, mkokoteni, moto, magonjwa) wanaangalia hapo hapo inabidi uzae kumi na mbili ili hao kila mmoja akichukua wake ubakie na angalau wawili shauri yako
 
Maty nyie kwenu mlizaliwa wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…