Top Ten African Countries With Best Education System, What Number Is Your Country

Tanzania hamna system of education that's why mnakula Albino na watoto wachanga
 
Tanzanians as usual ranting about Kenya's education...
Try this, make an advert for a skilled job... Engineering, artisan jobs, teaching, medical , business professions...
In Kenya and Tanzania...and tell me where you will get more skills and experience..
 
Hata google wanajua majengo yenyu yanaporomoka...




>>> Tanzania

 
Tanzania kale kazee ka nyerere ndiyo kachawi ka elimu yetu. Kaliweka maandalizi katawale milele.
Isingekua kufa kwa ujamaa...leo ingekua habari nyingine. Kenya msingekua na ukabila mngekua mbali sanaaaaa. Futeni ukabila..believe me mtakua super power Africa.
 
Shida nini kwani wamesema nchi zenye best education systems sio nchi zenye watu wenye elimu nzuri, kwani hamjui kuna nchi zinautajiri lkn zinaishi kimaskini, sasa kama mkenya au nani kamzidi Nigeria na bado mnigeria ni tajiri kabisa unabishana nao nini?? Waache wafurahie best education system hahaaa
 
Uelewa finyu ndio kasumba ya elimu yenu duni. Umesoma maelezo ukaona mfumo mzuri wa elimu unaendana na 'literacy' rate ya juu zaidi? Literacy rate ya Kenya ni 79% kulingana na UNESCO. Hao wanigeria uliowataja mnaendana nao kwa sana, maanake level ya umasikini Tz na Nigeria ni 55% + ya wananchi wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…