Mtoto wa Nyerere
Senior Member
- May 21, 2021
- 129
- 689
Tanzania mko wapi jaman hata top teni hatumo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
𝚄𝚐𝚊𝚗𝚍𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚒 𝚑𝚊𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚙𝚒𝚜𝚒 𝚔𝚊𝚕𝚒?Kama Uganda ipo nmeipuuza hii list hadi mje na source of info
Tanzania watafutie kwenye ngongingo na wowowo achana na izo sura
Waganda wazuri ww....Hata Uganda nae mtoe Yani hao wawepo Tz isiwepo?
Wanawake wa Uganda wanapenda mshedede acha kabisa...yaani wanaweza kuuaYaani Kenya iwe na wanawake wazuri kuliko Tanzania kweli kabisaa??
Uganda iwe na wanawake kuliko Tanzania kweli kabisaa??
Upuuzi kabisa.