Mtoto wa Nyerere
Senior Member
- May 21, 2021
- 129
- 689
ππππππ ππ πππ ππππππ ππππ ππππ?Kama Uganda ipo nmeipuuza hii list hadi mje na source of info
Tanzania watafutie kwenye ngongingo na wowowo achana na izo sura
Waganda wazuri ww....Hata Uganda nae mtoe Yani hao wawepo Tz isiwepo?
Wanawake wa Uganda wanapenda mshedede acha kabisa...yaani wanaweza kuuaYaani Kenya iwe na wanawake wazuri kuliko Tanzania kweli kabisaa??
Uganda iwe na wanawake kuliko Tanzania kweli kabisaa??
Upuuzi kabisa.