Top ten college drop outs-Time magazine

Na ndio mjue umuhimu wa ku-identify,kujali na kuendeleza talent za watu.
 
Wenzetu wana drop kwasababu nchi yao ni nchi ambayo unaweza kutimiza ndoto zako kirahisi. Mfumo wa nchi yao mzuri. Sasa nchi yetu ilivyo maskini ujaribu kukacha skuli ulisikilizie hilo shida la mtaani utakalokutana nalo. Waliosoma wenyewe bado wanamaliza soli mtaani kutafuta kazi hawapati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…