Top ten Countries without access to toilets. Kenya haiko. Tanzania iko top 10

ivi population ya dar c 5m sasa iyo 45m yote haina izi huduma
 
How many public toilets are there in Dar City? Just estimates?
 
Russia is not half the size of africa, leta km2 zake leta ya africa, na unapaswa ujue image ya africa is distorted kwenye atlas, its huge, observe the distance btn 2 latitude around equator and dist btn 2 latitudes around north poles where russia is.
 

 
Huku ngorongoro DC kuna kijiji kabisa hakina vyoo huko kwa wasonjo , kinaitwa Sale na miaka 4 iliyopita walimpiga katibu tarafa wao kisa kahimiza kujenga vyoo
 
hahaaa...kumbe watani wetu mnakunya vichakani then mnaenda panda brt hadi job pale pspf na tpa buildings..mkitoka apo mnakuja sema wakenya wanachafua vyoo vyenu kumbe vyoo vyenyewe hamna
 
Naelewa matatizo yenu lakini mimi nilipost hii kwa sababu some days ago some guys from your countries were dissing Kenya na story za choo
 
Baada ya uzi flan kuletwa hamchambi naona mmeenda kufukua Google mtuletee habari uchwara,sasa mwenye nafuu ni nani?

Nyie watu wa north mnapenda tambo zaajabu wkt choka mbaya tu
 
China na Russia ni due to high population. Ila Tanzania nchi ya watu millioni 50 ina watu milioni 44 hawa vyoo - that's 88%. Gosh!
ILA KAMA UNA AKILI SAWA SAWA UTAGUNDUA TU KUWA TZ HAIWEZI KUWA NA IDADI KUBWA HIVYO . ILA PIA KUWA TZ HAIWEZI KUWEPO BILA KUTANGULIWA NA KENYA. YOUR VERY SURE OF THAT NDO MAANA UNAONEKANA UKO NA MHEMKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…