Mkuu hapa umena kabisa..huu utanzania na ukenya wakati mwingine tuweke pembeni kabisa na kusema ukweli, yawezekana waliotafiti hata Kenya hawakufika...India na China kwenye ishu zingine wapo juu mno..I am Kenyan but habari hii nikama kujifunga goli (own goal)...pia sisi tuna shida nyingi sana kwa sector hii ya sanitation Kibera sio jambo la kujivunia..ukweli usemwe tu...tutakapomaliza shida hizi ndipo tunafaa kuja kujivunia...kwa sasa nikama tu mbilikimo wawili wanapimana urefu na kuchekana..No pun intended..just being real
Not sure about the numbers though but ni kama tu Nairobi though in al major areas like market, bus stage etc zipo na well maintained tangu enzi hizo...good angalau Nairobi this day public toilet sio tena homes of chokoraas..How many public toilets are there in Dar City? Just estimates?
Amesema wasio na vyoo ni m45tupo mil. 53 sasa hivi
acha utetezi usiokuwa na kichwa wala mguu! Tz tunajikwamua, one step at a time, tutafika tu!China na Russia ni due to high population. Ila Tanzania nchi ya watu millioni 50 ina watu milioni 44 hawa vyoo - that's 88%. Gosh!
Labda walikuwa wakifanya utafiti juu ya wenye mifumo ya maji taka tu, kweli wengi hatuna, lakini vyoo Nadhani hata asilimia kumi sidhani kama inaweza fika kwa takwimu za mwaka huu.Hao watz mil 45 wasio na vyoo mmewatoa wapi?
Kuna shughuli ya mbolea na wakati huo huo pia wanapanda mipera. We endelea kula mapera tu wakati hata hujui huwa yanapandwaje. 😀Waaah.... Nowonder miombo woodlands iko na miti mirefu sana.... Kumbe hawa Wadanganyika wa naenda huko kuwekaweka mbolea tuu....... Shiba babaa shibaa..... twahitaji mbolea
Acha kuficha ujinga.....China ipo, Russia ipo, ila kuna jamaa mmoja kaiona Tanzania tu.
Acheni kuitazama Tz, mtachelewa kufanya yenu.
Una tatizo mahali?Acha kuficha ujinga.....
Sawa mkuuUna tatizo mahali?
Asante kwa kunielewaSawa mkuu
Duuu, ila wakenya mna matatizo sana, halafu hata hawa Watanzania wenzangu hawajui jinsi ya kuwaambia ukweli. Sasa ngoja niwachane.Why do i even bother with these people watu wajinga kupindukia ukimpa facts anaanza kukupea facts zake toka kwa kichwa
Russia is
17,000,000km2
Africa is
30,000,000km2
Russia URUSI
View attachment 504571View attachment 504572
AFRICA /AFRIKA
View attachment 504573
Tena kuna kampeni ya kuhamasisha ujenzi na kutumia vyoo inaendeshwa na wizara ya afya,tatizo la ukosefu wa vyoo salama ni kubwa kwa zaidi ya 50%Hauna akili! Tanzania yetu bado tuko kundi la least developing countries, hivyo bado tuna matatizo yote ya least developing countries, Kenya ni middle income country hivyo haiwezi kuwa na matatizo sawa na Tanzania yetu kwa hali ya kawaida, sasa nashangaa kwa nini hii inakuwa ni news kwako!